1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baada ya Lowassa kukutana na Magufuli: CHADEMA yazungumza

9 Januari 2018

Rais wa Tanzania John Magufuli amekutana na waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa na kuzungumza mambo mbalimbali huku Lowasa akimsifia rais kwa juhudi zake anazofanya ikiwa ni pamoja na ujenzi wa reli ya kati ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa kusema mradi huo unaongeza ajira. Mwenyekiti wake Freeman Mbowe anaelezea iwapo hatua hiyo ya Lowassa ni msimamo wa chama cha CHADEMA?

https://p.dw.com/p/2qaHV