1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Azimio au Kenya Kwanza kuchukua uspika wa bunge la kitaifa?

7 Septemba 2022

Takwimu zinaonesha upinzani huenda utakuwa na wingi kwenye bunge la taifa na upande wa Ruto utadhibiti baraza la seneti. Hilo litakuwa ni changamoto kiasi gani kwa utawala mpya? Rashidi Chilumba amemuuliza mchambuzi wa siasa za Kenya Martin Oloo kwanza alitaka kufahamu kwa nini suala la udhibiti wa bunge ni muhimu?

https://p.dw.com/p/4GWOG