1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za ukame kwa watoto wa Kaunti ya Turkana

27 Aprili 2022

Katika eneo hilo, tatizo la ukame pia ni watoto wenye utapiamlo. Takriban zaidi ya nusu ya watoto wanaoishi katika jamii za vijijini wanakabiliwa na utapiamlo mkali kulingana na mashirika ya kibinadamu. Na hiyo inatia wasiwasi mamlaka za mitaa.

https://p.dw.com/p/4AW8k