1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za shule kufungwa kwa muda mrefu Uganda

8 Septemba 2021

Ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu shule zilipofungwa Uganda na hadi sasa wanafunzi wa madarasa ya chini katika ngazi za msingi na sekondari hawajui hasa ni lini watarejea masomoni. Hii imetokana na hatua zilizochukuliwa kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa wa COVID-19 au ukipenda UVIKO-19. Isikilize makala hii iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/404Hd