1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mvua za El Nino Afrika Mashariki

Bernard Maranga7 Januari 2016

Eneo la Afrika Mashariki lilishuhudia mvua za El Nino. Mamilioni ya watu wameathirika kutokana na mvua hizo, zinazoendelea tangu mwisho wa mwaka jana hadi leo. Mtu na Mazingira inamurika hatari ya mvua za El Nino kwa mazingira.

https://p.dw.com/p/1HZde