1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mila kwa afya ya mwanamke

10 Februari 2014

Jamii nyingi za Kiafrika zimekuwa zikiendeleza mila na desturi ambazo kwa njia moja ama nyengine zinaathiri afya za wasichana na wanawake watu wazima kwa kiasi kikubwa, licha ya kampeni kubwa kupinga mila hizo.

https://p.dw.com/p/1B60A
Ukeketaji ni moja ya mila zinazoiathiri vibaya afya ya msichana.
Ukeketaji ni moja ya mila zinazoiathiri vibaya afya ya msichana.Picha: picture-alliance/ dpa

Katika makala haya ya Afya Yako, Amina Abubakar anaangalia baadhi ya vitendo vilivyomo kwenye mila na desturi za jamii za Kiafrika ambazo zimekuwa zikichangia katika kuzorotesha afya ya msichana.

Kusikiliza makala haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Khelef