1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kufungwa mitandao ya kijamii Uganda

Emmanuel Lubega28 Januari 2021

Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Uganda wanaendelea kuwa gizani, baada ya serikali kusema kwamba majukwaa hayo bado ni tishio kwa usalama wa kitaifa. Wakati huohuo, rais Yoweri Museveni amekariri kwamba yuko tayari kuzungumza na upinzani, ila hataki kuwahusisha wapatanishi wowote.

https://p.dw.com/p/3oWTT