1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari ya vita ya Urusi nchini Ukraine kwa uchumi Tanzania

10 Machi 2022

Wakati vita ya Urusi ikiendelea nchini Ukraine athari zake na hasa kiuchumi zinaendelea kujitokeza katika sehemu mbalimbali za ulimwengu na barani Afrika ni moja ya eneo zinakoshuhudiwa athari kadhaa.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshatahadharisha kwamba vita hivyo vinavyoendelea vitasababisha ongezeko la bei ya bidhaa nchini humo. Sikiliza mahojiano ya Saumu Yusuf na Profesa Honest Ngowi.

https://p.dw.com/p/48H3w