1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari saa 12:00 (Afrika Mashariki) 07.04.2018

7 Aprili 2018

Jeshi la Israel limewaua waandamanaji saba katika mpaka wa ukingo wa Gaza. // Rais wa zamani wa Brazil- Luiz Inacio Lula da Silva, anafanya mazungumzo ya kujisalimisha, baada ya muda aliopewa na mahakama kujisalimisha na aanze kutumikia kifungo cha miaka 12 jela, kumalizika. // Marekani imewawekea vikwazo washirika wa karibu wa rais wa Urusi Vladimir Putin

https://p.dw.com/p/2vdcl