1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari saa 12:0 (Afrika Mashariki)

V2 / S12S28 Julai 2019

Vidokezo vya Taarifa ya Habari: Watu kadhaa waandamana Khartoum-Sudan baada ya ripoti ya uchunguzi kubaini maafisa wa usalama waliwaua watu 87.// Polisi Moscow imewakamata mamia ya waandamanaji waliokuwa wakishinikiza uchaguzi wa jiji kuwa huru na wa haki.// Kundi la Boko Haram limewaua waombolezaji 23 nchini Nigeria.

https://p.dw.com/p/3MqU9