1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari Oktoba 26, 2022

V2 / S12S26 Oktoba 2022

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Rishi Sunak atahadharisha atafanya maamuzi magumu mnamo wakati nchi yake inakumbwa na migogoro.|| Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz asema juhudi za kuujenga upya Ukraine "sharti zianze sasa". || Mazungumzo ya amani kati ya Ethiopia na Tigray yaanza Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/4IgPb