1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari 23.05.2021

V2 / S12S23 Mei 2021

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaamuru operesheni ya kuwaokoa watu baada ya volkano kuripuka karibu na mji wa Goma.// Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa latoa wito wa msaada wa dharura kwa wakaazi wa Ukanda wa Gaza.// Wanariadha 20 wafariki wakishiriki mbio nchini China baada ya hali ya hewa kugeuka na kuwa mbaya ghafla

https://p.dw.com/p/3tpDp