1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App ya simu ya kukodisha trekta nchini Kenya, "Hello Trekta"

Yusra Buwayhid / MMT26 Oktoba 2021

Nchini Kenya kuna App mpya "Hello Trekta" ambayo imezinduliwa kuwawezesha wakulima kukodi matrekta kwa urahisi. ni App inayowaunganisha wakulima wasiokuwa na uwezo wa kumiliki mashine zao wenyewe na wamiliki wa matrekta kwa njia ya simu ya mkononi. Utasikia pia jinsi utumiaji wa kupindukia wa simu za mikononi unavyoharibu ubongo wa binadamu. Yote hayo ni kwenye kipindi cha Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/42B56