1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App ya kuripoti uhalifu yazinduliwa Kenya

Elizabeth Shoo
1 Februari 2017

Serikali ya Kenya imetengeneza app ya simu za mkononi kuwapa wananchi nafasi kuripoti visa vya uhalifu. Vile vile Sema Uvume itaangazia namna watumiaji wa mitandao wanavyojadili uamuzi wa Rais Donald Trump kupiga marufuku watu kutoka nchi saba, ambazo raia wake wengi ni Waislamu, kuingia Marekani.

https://p.dw.com/p/2Wlox