1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Annan azikwa nchini Ghana

14 Septemba 2018

Hatimaye aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Afrika, Kofi Annan azikwa nchini Ghana kiongozi wa upinzani nchini DRC, Jean Pierre Bemba amtaka rais Joseph Kabila kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki na huko Burundi aliyekuwa kiongozi wa chama cha FNL, Agathon Rwasa atangaza kuunda chama kipya. Ungana na Mohamed Abdulrahman kwenye makala ya Afrika Wiki hii kujua mengi.

https://p.dw.com/p/34sOS