1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ANC, UDA na FORD Kenya vyatangaza muungano kuelekea uchaguzi

Daniel Gakuba
24 Januari 2022

Baada ya wanasiasa wawili wenye ushawishi, Musalia Mudavadi na William Ruto kuungana katika juhudi zao za kutaka kurithi kiti kitakachoachwa na Rais Uhuru Kenyatta baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti, baadhi ya watu wanasema hatua ya Mudavadi ni kujiua ksiasa, wengine wakisema ni uamuzi wa kimkakati. Daniel Gakuba amezungumza na Prof. Ezebio Wanyama, mchambuzi wa siasa za Kenya.

https://p.dw.com/p/4614a