1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Aliemezwa na Bahari

6 Machi 2023

Mbiu ya Mnyonge leo inaungana na mojawapo ya familia za watu waliopotelewa na wapendwa wao katika mazingira ya kutatanisha Tanzania miaka iliyopita, kupaza sauti za familia nyengine kadhaa zilizojikuta kwenye ombwe kubwa na ukiwa usiopimika. Muandaji na msimulizi ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4OK4Q