1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ali Mohammed Shein ashinda uchaguzi wa urais Zanzibar

Grace Patricia Kabogo/Salim Said Salim21 Machi 2016

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar - ZEC, Jecha Salum Jecha amemtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi - CCM, Ali Mohammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.

https://p.dw.com/p/1IGrJ