1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alexander Nübel kujaza pengo la Manuel Neuer?

Josephat Charo
29 Desemba 2022

Mlinda lango wa klabu ya Monaco Alexander Nübel amesema hana haja sana ya kurejea Munich kuichezea klabu yake ya zamani Bayern Munich, kujaza pengo la mlinda lango nambari moja Manuel Neuer ambaye alivunjika guu lake. Nübel anaonekana hataki kurudi Allianz Arena, hii inaziweka wapi juhudi za Bayern kutafuta mlinda lango wa kushikilia nafasi ya Neuer? Josephat Charo anahojiwa na Saumu Njama

https://p.dw.com/p/4LXYC