1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajuza Mkenya athibitisha elimu haina mwisho

4 Juni 2022

Katika makala ya Wanawake na maendeleo, Neema Misheki anamuangazia ajuza mmoja nchini Kenya ambaye ameamua kwenda shule. Utasikia namna ule usemi usemao elimu haina mwisho ulivyothibitika kwa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 98, ambaye ameleta hamasa kubwa kwa wanafunzi kwa uamuzi wake wa kujiunga na shule.

https://p.dw.com/p/4CIBu