1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Wakunga wa Kinondo

Halima Gongo/MMT27 Januari 2022

Vifo vya akina mama waja wazito na watoto wachanga vimepungua kwa asilimia kubwa katika vijiji vya kaunti ya Kwale pwani ya Kenya baada ya hospital ya Kinondo kuanzisha mpango wa kuwahusisha wakunga wa zamani au wakunga wenye ujuzi wa kitamaduni katika hospitali hiyo

https://p.dw.com/p/469Rd