1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Uhusiano wa shisha na kifua kikuu

28 Julai 2023

Katika makala hii ya Afya Yako, Alex Mchomvu anachunguza uhusiano uliopo baina ya uvutaji wa shisha na kusambaa kwa maradhi ya kifua kikuu katika jiji la Mwanza nchini Tanzania. Ambatana naye.

https://p.dw.com/p/4UUCB