1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Maambukizo ya Ukimwi kwa vijana wadogo Kenya

5 Mei 2023

Idadi ya maambukizo ya Ukimwi kwa vijana walio na umri mdogo nchini Kenya yako juu, na serikali sasa inasaka mbinu za kuwasaidia vijana hawa wasiendelee kuangamia kwa janga hili linalotokana kwa kiasi kikubwa na kushiriki ngono kwa njia zisizo salama.

https://p.dw.com/p/4QxnM