1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika yaathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi

8 Juni 2023

Takriban wajumbe 200 kutoka nchi zilizotia saini Mkataba wa Paris wa 2015 juu ya mabadiliko ya hali ya hewa wanaendelea na mkutano wa kuandaa maamuzi yatakayopitishwa katika mkutano wa kilele wa mazingira COP28. Mjumbe kutoka Kenya Charles Mwangi- Mratibu wa miradi katika shirika lisilo la kiserikali la kutetea haki za binaadamu katika suala la mabadiliko ya tabia nchi, PACJA, anazungumzia zaidi.

https://p.dw.com/p/4SLpg