Afrika wiki hii: Ziara ya rais wa Marekani Joe Biden huko nchini Angola. Namibia yapata rais mpya mwanamke Netumbo Nandi-Ndaitwah. Nchini Tanzania Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha upinzani nchini humo cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, asimulia alivyoteswa na waliomteka nyara. Na Kongo yagubikwa na wasiwasi baada ya kuzuka ugonjwa usiojulikana.Jiunge na Saumu Mwasimba