1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika wiki hii

SAUMU YUSUF30 Agosti 2024

Raila Odinga aliyewahi kuwa waziri mkuu, Kenya aungwa mkono na kanda nzima ya Afrika Mashariki kuwania uongozi wa Kamisheni ya AU, Aliyekuwa naibu waziri wa afya wa Tanzania Dkt Ndugulile achaguliwa kuwa mkurugenzi wa W.H.O kanda ya Afrika. Na Waziri mkuu wa Uhispania azitembelea Gambia,Mauritania na Senegal katika juhudi za kuunga mkono uthabiti wa kanda ya Sahel na kuzuia uhamiaji.

https://p.dw.com/p/4k7JK