1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika wiki hii

Amina Mjahid12 Mei 2023

Miongoni mwa yaliyojiri barani Afrika kwenye juma linalomalizika ni Mafuriko yasababisha vifo vya zaidi ya watu 300 nchini Congo+++ Nchi wanachama wa SADC zilikubaliana kupeleka vikosi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo makaazi yao+++ Mataifa ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki yameazimia kuendelea kukuza sekta ya mafuta.

https://p.dw.com/p/4RGwl