1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Amina Mjahid10 Machi 2023

Makala ya Afrika Wiki Hii yanakupa nafasi ya kuyasikia matukio muhimu yaliyojiri barani Afrika mnamo juma hili. Yaliyomo: Wanajeshi wa Burundi wawasili Goma katika kikosi cha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kusaidia kuwaondoa waasi katika maeneo wanayoyadhibiti huko Congo... Mtayarishaji wako ni Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/4OVxX