1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Daniel Gakuba23 Septemba 2022

Makala ya Afrika Wiki Hii huangazia matukio muhimu yaliojiri barani Afrika juma hili. Miongoni mwa hayo ni kufutwa na kupunguzwa kwa kiwango cha tozo za miamala ya kieletroniki nchini Tanzania, hotuba za Marais wa Afrika katika hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa na mripuko wa Ebola nchini Uganda. Mtayarishaji wako ni Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4HG9w