1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Sylvia Mwehozi22 Julai 2022

Makala ya Afrika Wiki huangazia matukio muhimu yaliojiri barani Afrika juma hili. Miongoni mwa hayo, kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya zinaingia kipindi cha lala salama, Tanzania yapokea mkopo wa dola bilioni 1 kutoka shirika la fedha ulimwenguni IMF, na winga wa Bayern Munich Sadio Mane ashinda tuzo ya mchezaji bora barani Afrika mwaka huu. Mtayarishaji ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4EWuk