1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Sudan kumkabidhi Omar al Bashir ICC

Sylvia Mwehozi13 Agosti 2021

Sudan kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir katika mahakama ya ICC.Tanzania yalifungia kwa siku 14 gazeti la UHURU linalomilikiwa na chama tawala nchini humo CCM. Zambia yafanya uchaguzi wa rais na bunge. Haya ni miongoni mwa yaliyomo katika kipindi cha Afrika Wiki hii kilichoandaliwa na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3yxte