1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Matukio muhimu barani Afrika

Saleh Mwanamilongo28 Oktoba 2022

Kuendelea kwa mapigano jimboni Kivu ya kaskazini baina ya jeshi la Congo na waasi wa kundi la M23. Kuanza kwa mazungumzo ya kutafuta amani kati ya waasi wa jimbo la Tigray, TPLF na serikali ya Ethiopia. Kuapishwa kwa baraza jipya la mawaziri nchini Kenya na Ziara ya Rais Felix Tshisekedi wa Kongo nchini Tanzania ni miongoni mwa matukio makubwa yaliyojiri barani Afrika Wiki hii.

https://p.dw.com/p/4IoWm