1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Maandalizi ya uchaguzi Kenya yapamba moto

29 Julai 2022

Katika Afrika Wiki Hii, utasikia kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, maandamano yenye ghasia dhidi ya ujumbe wa umoja wa mataifa wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov na ajali mbaya iliyouwa wanafunzi wengi mjini Mtwara huko Tanzania, ni baadhi ya matukio hayo. Mtayarishaji ni Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4EsET