1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu waiopungua 15 wafariki kutokana na mafuriko huko Kenya

10 Novemba 2023

Takriban watu 15 wamepoteza maisha kufuatia mafuriko mabaya yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Kenya.Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mapigano makali yaendelea huko Masisi mashariki mwa nchi hiyo na Serikali huko Tanzania yakosolewa na wananchi wake kutokana na vita vyake dhidi ya makahaba katika mitaa ya jiji la Daresalam. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii

https://p.dw.com/p/4Yg04