1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Mashariki walitaka kundi la waasi wa M23 kuondoka Rutshuru.

Benjamin Kasembe2 Januari 2023

Ikiwa bado hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo huko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, viongozi wa kikosi cha nchi za jumuiya ya afrika mashariki wamelitaka kundi la waasi wa M23 kujiondoa katika maneo wanayoyadhibiti katika wilaya ya Rutshuru. Taarifa kamili ililetwa na mwandishi wetu Goma Benjamin KASEMBE.

https://p.dw.com/p/4LeKr