Wakuu wa majeshi ya nchi kavu wa nchi za Afrika wemafanya mkutano na jeshi la Marekani kuimarisha usalama Afrika. Mkutano huo wa kilele umefanyika Arusha, Tanzania. Wajumbe wameahidi kufanya kazi pamoja.
https://p.dw.com/p/1IrCD
Picha: DW/C. Ngereza
Matangazo
[No title]
Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na MarekaniPicha: DW/C. NgerezaMeja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu TanzaniaPicha: DW/C. Ngereza