1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

zainab Aziz9 Agosti 2024

Yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani kuhusu bara la Afrika mnamo wiki hii ni pamoja na hatua iliyochukuliwa na Mali ya kuvunja uhusiano wa kibalozi na Ukraine. Gazeti la Neue Zürcher limezunguzia juu ya hali ya nchini Sudan. Gazeti la Die Welt limearifu juu ya uamuzi wa Waziri Mkuu wa Uingereza wa kulisimamisha zoezi la kupelekwa wakimbizi nchini Rwanda.

https://p.dw.com/p/4jIbR