1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

15 Machi 2024

Maswala ya barani Afrika yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani wiki hii ni pamoja na pande zinazopingana nchini Libya zinajaribu kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Gazeti la Die Zeit linazungumzia juu ya hali ya nchini Sudan na gazeti la Frankfurter Allgemeine linasema magaidi waliowateka nyara watoto wa shule 300 nchni Nigeria sasa wanadai kitita cha zaidi ya dola nusu milioni.

https://p.dw.com/p/4dejN