1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani

1 Machi 2024

Matukio ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na uamuzi wa jumuiya ya ECOWAS wa kuondoa vikwazo dhidi ya Niger, Mali na Burkina Faso. Makubaliano kati ya Somalia na Uturuki juu ya ulinzi wa pwani ya Somalia na mahakama ya kimataifa ya mjini The Hague yaamua wahanga wa ukatili wa kundi la kigaidi la LRA, walipwe fidia. Mtayarishaji: Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4d4Mn