1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

2 Februari 2024

Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameangazia mkutano uliofanyika mjini Rome kati ya Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na viongozi wa nchi za Afrika. Uamuzi wa Mali, Niger na Burkina Faso kujiondoa kwenye jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS na pia juu ya mzozo kati ya Somalia na Ethiopia kuhusu jimbo lililojitenga la Somaliland. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4by85