1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz8 Septemba 2023

Mkutano wa kilele wa viongozi wa Afrika juu ya mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika mjini Nairobi, Kenya, mgogoro wa Sudan na uamuzi wa Ufaransa wa kuyaondoa majeshi yake nchini Niger, ni miongoni mwa masuala ambayo wahariri wa magazeti ya Ujerumani waliyapa nafasi wiki hii. Sikiliza kipindi kilichoandaliwa na Zainab Aziz

https://p.dw.com/p/4W7ZF