1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika itawaliwe na Waafrika

VERONICA NATALIS26 Oktoba 2022

Sauti zimeendelea kupazwa na makundi mbalimbali ya kiuanaharakati katika masuala ya demokrasia na haki za binaadamu kwamba Afrika ni lazima iwe ya Waafrika na si mataifa ya magharibi. Kulikoni wanatoa miito kama hii kwa wakati huu? Ungana na Veronica Natalis aliyetuandalia makala Yetu leo akizungumza na wanaharakati hawa.

https://p.dw.com/p/4IhJP