1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Afrika itarajie nini katika kongamano la Marekani na Afrika?

Hawa Bihoga13 Desemba 2022

Rais Joe Biden wa Marekani anatarajiwa kukutana na Marais takriban 50 wa nchi za Afrika katika kile kinachotajwa kuongeza ushawishi wa taifa lake barani Afrika. Miongoni mwa ajenda ambazo Marekani inatazamiwa kuziwasilisha ni pamoja na kukuza diplomasia ya uchumi, kupambana na Corona na athari za vita vya Urusi nchini Ukraine barani Afrika. Hawa Bihoga amezungumza na mchambuzi Gwandumi Mwakatobe.

https://p.dw.com/p/4Krjz