1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika imepata hasara ya zaidi ya dola bilioni 10 kutokana na corona

2 Desemba 2021

Mawaziri wa sekta ya usafiri wa anga barani Afrika wamesema Alhamis kuwa athari za janga la corona zimelisababishia bara hilo hasara ya zaidi dola billioni 10 za Marekani. Mawaziri hao wanaokutana mjini Kigali nchini Rwanda wamesema ingawa sekta ya usafiri wa anga barani Afrika imekuwa na changamoto lakini janga la corona limezidisha kishindo.hii ni ripoti yake Sylivanus Karemera kutoka Kigali.

https://p.dw.com/p/43knh