1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Africa Uncensored, nguvu za uandishi habari wa uchunguzi

19 Juni 2024

Emmanuel Chenze, mwenyekiti mtendaji wa shirika la habari za uchunguzi la Africa Uncensored lenye makao yake makuu jijini Nairobi nchini Kenya, ambalo limekuwa mstari wa mbele kuibua kashfa za ufisadi katika eneo la Afrika Mashariki, anazungumzia kazi za shirika lake.

https://p.dw.com/p/4hCna