1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afisa wa jeshi Mikombe ahukumiwa kifo Kongo

3 Oktoba 2023

Mahakama ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu kifo afisa wa jeshi, Mike Mikombe, wakati maafisa wengine watatu wakihukumiwa vifungo vya miaka 10 jela kutokana na mauaji ya mwezi Agosti ya zaidi ya waandamanaji 50 katika mji wa Goma. Saumu Njama amezungumza na Jean-Baptiste Muhindo Kasekwa mbunge wa Goma na kwanza amemuuliza, je wameridhishwa na uamuzi wa mahakama?

https://p.dw.com/p/4X4kU