1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afisa Maendeleo ya Jamii anayewasaidia vijana na wanawake

Veronica Natalis
28 Februari 2024

Ester James Sulemani ni afisa maendeleo ya jamii huko Geita, eneo la kanda ya ziwa nchini Tanzania. Anatumia nafasi yake kuwafikia vijana na wanawake kuwasaidia kutatua changamoto za maisha zinazowakabili. Anashirikiana pia na mashirika ya hisani kutimiza malengo hayo. Tizama juhudi zake kupitia Kurunzi Wanawake.

https://p.dw.com/p/4cygq