1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afghanistan: Hofu yawaingia wafanyabiashara wa ususi Kabul

25 Agosti 2021

Wafanyabiashara wa saluni na urembeshaji mjini Kabul, Afghanistan wameanza kufuta picha na kuharibu mabango ya kibiashara yenye nyuso za wanawake wakihofia kundi la Taliban litawaandama. Zamani kundi hilo liliwalazimisha wanawake kuhakikisha sehemu zote za miili yao inafunikwa.

https://p.dw.com/p/3zTVS