1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ADIS ABABA: Shirika linalowahudumia wakimbizi la UM limehamisha ...

16 Desemba 2003
https://p.dw.com/p/CFrr
watumishi wake kutoka magharibi mwa Ethiopia na mahospitali yamesheheni mno majeruhi.Hii inafuatia ghasia zilizochukua maisha ya watu 30 mwishoni mwa wiki. Ethiopia imeweka huko Gambella,vikosi vyake, kilomita 800 magharibi mwa mji mkuu Adis Ababa. Wanashika zamu kuona amri ya kutotoka nje nyakati za usiku inafuatwa.