Kiongozi wa upinzani nchini Gambia, Adama Barrow ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aomba radhi kwa Umoja huo kusambaza ugonjwa wa kipindupindu nchini Haiti na rais wa Ufaransa Francois Hollande atangaza kutowania muhula wa pili. Papo kwa Papo 02.12.2016